House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 500,000X6
LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGULE KM 1.5 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 UKISHUKA UMEFIKA BARABARA NI LAMI MPAKA GETINI
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 20000 KWENDA KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#VYIUMBA 2 KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO LA MAKABATI
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK π«
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347



















