House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALIMNOO ZA KISASA ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER  DK14 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BODA BUKU NA  BARABARA SAFI YA ZEGE UKANYAGI TOPE MBAKA UNAINGIA NDANI KWAKO. INAKUWA WAZI MWEZI WA 6 .2025
------
Chumba master  kikubwa 
Seble kubwa 
Jiko kubwa la kisasa lina makabati 
Public toilet njee
Full air condition 
Heater ya maji moto maji baridi 
Electronic  fence
Geti la limoti 
Ndani ya fence 
Parking space kubwa sana 
-------
Service charge 15,000/=
Kodi 350,000/=ร6
--------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3 5
--------
DALALI KIMARA SUKA LEONARD 
0719-092747
0683-387747
0765-494343
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT ๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐




















