House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
💥 Inapangishwa
#KIMARA TEMBONI
📍250,000/= *3 (kodi hata miezi mitatu)
📌 Nyumba ya Jirani na Barabara
______
__
• Sebule
• Chumba
• Jiko
• Choo Ndani
* UMEME na MAJI inajitegemea
* Maji Ndani
* Ndani ya Fensi
* Parking
#Umbali wa dk 5 - 6 tu kwa miguu.
_____
#Malipo ya dalali Nasoni ni 250,000/=
#Service Charge 15,000/=
№: 0753-172-516