House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#0625606710
APARTMENT NZURI KUBWA INA PANGISHWA
LOCATION: KIMARA SUKA
KODI 160,000X6
UMBALI KM 2
NI CHUMBA MASTER NA SEBULE KUBWA SANA
MAJI YANA FLOW NDANI
UMEME LUKU YAKO
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
MAZINGIRA MAZURI SANA
BAJAJI 700
BODA 1000
UKISHUKA DAKIKA 2 UPO NDANI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA