House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
——
——
APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI DK6 KWA MIGUU KUTOKA LAMI.
------
Chumba
Seble
Jiko
Open (kitchen)
Public toilet ndani
Tiles
Gypsum
Slide window
Maji yana flow
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 250,000/=×3
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki mbili na nusu Kodi miezi 6
----------
Napatikana muda wote karibuni sana wateja
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT 🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏🏻
Itakuwa wazi TAREHE 1 mwenzi wa kumi na moja kuona kulipia ruksa endapo MPANGAJI atakuepo
==========
CONT
0683234124
0718367179