House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(200,000 × 6) KIMARA TEMBONI UNAWEZA PITIA MBEZI KIBANDA CHA MKAA
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI (PUBLIC)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 200,000/= × 6
ILIPWE LAKI 2 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
🏘️APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 500
PIA UKIPITIA KIBANDA CHA MKAA BODABODA 1000 MPAKA MLANGONI
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300