House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO(DSM) 🇹🇿KILOMETA.2KUTOKA BARABARA YA LAMI
📌USAFIRI UPO WA BAJAJI DALADALA TZS 500/=
BODA BODA ELFU 1500 /= TUU.
#CHUMBA MASTER KIKUBWA
#SEBLE KUBWA SANA MNO
#NA KIBALAZA CHAKO KIKUBWA
#MAJI YANA FLOW CHOONI
#UMEME LUKU YAKO MWENYEWE
#NYUMBA IPO NDANI YA UZIO
#PARKING SPACE HAKUNA
#MAZINGILA MAZURI SANA MNO
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI NI TZS 150,000/=X"3"
CONTACT US :0754589413
WHATSAPP :0785889413