House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA ZIPO 2 TU NDANI YA FENCE MOJA NDIO IPO WAZI KODI 500,000X6
LOCATION KIMARA BARUTI DK 8-10 KUTEMBEA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#VYIUMBA 3 KIMOJA MASTER KUBWA
#SITING ROOM KUBWA & DAINING TABLE
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347