House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT MPYA NZURI YA KISASA YA KIBACHELA (STUDIO) INAPANGISHWA BEI NI 150,000K X 6
๐ฅ APARTMENT HII MPYA (STUDIO) INA SIFA ZIFUATAZO
# CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#JIKO KUBWA ZURI LINAWEKWA SINKI ZURI LA KUOSHEA VYOMBO
#LUKU INAJITEGEMEA YENYEWE
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#GARDEN
#PARKING
#IPO NDANI YA FENSI KUBWA
BEI NI 150,000/= X 6
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA BUCHA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU NA NJIA YA GARI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
UKILIPIA NYUMBA HII UTALIPIA NA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 1 TUU (100,000/=)
๐ฅ KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
โฌ๏ธ
Simu/06 59 33 67 51
โฌ๏ธ
Wsp/07 86 08 56 37