House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
(200,000X3) KIMARA MWISHO 1KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BODA ELF MOJA..AMKA NAYO AISEE
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KIMARA MWISHO #200k
===
Chumba cha kulala
Sebule
Choo ndani ( master)
Jiko zuri
Inajitegemea umeme na Maji
Ndani ya fence parking IPO
====
Bei:200,000 Kwa mwezi ร 3
===
Umbali KM 1Bajaji zipo
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
CONTACT US:-
0716223412
0683597453