House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
NI APARTMENT NZUR INAPANGISHWA
KODI NI 120,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI MITATU (3)
LOCATION: KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI WA KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI NOA 700 UKISHUKA DK 3 UPO NYUMBAN
SIFA ZAKE
########
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA NA SEBULE KUBWA
IPO NDAN YA FENS SAFI ILA SIO YA KULAZA GARI
INA TILES GYPSUM SAFI
LUKU 3 NA PANA SABMITA NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24
SERVICE CHARGE ELFU 15
CONTACT
0679447338
0753454167