House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA ZINAPANGISHWA!
LOCATION
KIMARA MWISHO DK 12 KUTOKA KIMARA STAND
__________________________________________
SIFA ZA NYUMBA
NYUMBA MPYA
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA SANA
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
ZIPO TATU KWENYE FENCE MOJA NA ZOTE ZIKO WAZI
MAFUNDI WAKO KAZINI WANAPANDIKA PAVING BLOCK
_______________________________________
MUHIMU KUZINGATIA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA ELF 10
ULIPIAPO NYUMBA DALALI UTAMPA KODI YA MWEZI MMOJA
KODI NI 400,000×6
MALIPO NI KUANZIA MIEZI SITA 6
_____________________________________
MAWASILIANO
WHATSAPP 0713836261
AU PIGA 0688931223
DALALI MENDEZI KIMARA