House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HOUSE FOR RENT STAND ALONE INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE ENEO MOJA KODI 250,000X6
LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 2 USAFIRI BAJAJI 700 UNAWEZA PITIA UBUNGO RIVER SAID KOTE BAJAJI ZIPO
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#VYIUMBA 3 KIMOJA MASTER KUBWA SANAA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#FENSI IPO NUSU PAKING SPACE KUBWA
WAI NDUGU MTEJA NYUMBA KUBWA BEI KITONGA
Simu
0679 997610
0747997630
Msigwa