House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NEW NEW APARTMENT MPYA ZIKO 4 TU KWENYE COMPAUND MOJA ZINAKUWA TAYALI KUHAMIA TAREHE 30/11/2025 MALIPO KUZUWIYA RUKSA
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA MASTER
#JIKO KUBWA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZINAWEKWA FENSI ILA PARKING HAKUNA
#LUKU YAKO MAJI YAKO DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 5-6 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA BILA KUPUNGUZA MIEZI
0715949085



















