House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTIMENT MPYA INAPANGISHWA
------------------------------
📌Mahali #KIMARA MWISHO(Dsm) 🇹🇿
UMBALI: 2KM BAJAJI 700
_______________________________________
MUUNDO
✔️Vyumba 02 _ Master 01
✔️Sebule Nzuri
✔️Jiko ndani Kubwa(Makabati)
✔️Feni Za Juu na Taa za Kisasa
✔️ Public toilet safi ndani
✔️ Parking Nzuri
✔️Nyumba nzuri &Ya kisasa
✔️Maji ndani
✔️ Reserve Tank
_______________________________________
HUDUMA (UNAJITEGEMEA)
✔️Maji Mita Yako
✔️Umeme #LUKU YAKO
📌Ndani ya FENCE & Parking Ipo KUBWA
N.B :KUHAMIA MTEJA NI TAREHE 05/01/25
KUONA NA KULIPIA RUKSA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI;
350,000\/= TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 6 + mwezi mmoja wa TAHADHALI
Malipo Ya Dalali ni Ya Mwezi Mmoja
_________________________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 15,000/=
______________________
CONT
0683234124
0718367179