House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA NA JIKO KINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER
UMEME MITA YAKO NA MAJI PIA NI MITA YAKO
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI ISIYOLAZA GARI
NYUMBA MPYA MPAKA TAR. 25 NDIO ITAKUWA TAYARI KWA KUHAMIA
UMBALI KM 1
KODI 110,000X6
USAFIRI BODA 1000
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
0679447338