House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


HII NYUMBA INA MAREKEBISHO YA CKU 10 TU NDO UINGIE NA INAWEKWA MPKA PERVING BLOCK UKO NJE
===============
NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
==============
IPO KIMARA KOROGWE KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500
==============
KODI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
==============
SIFA ZAKE
########
VYUMBA VIWILI VIKUBWA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
DAINING
JIKO ZURI KUBWA
LINAWEKWA MAKABATI
STOO
TILLES & GYPSUM
ALUMINIUM
FEN ZINAWEKWA
LUKU YAKE
MAJI YAPO
DAWASA
YANAFLOW NDAN
MAZINGIRA YATAKUA MAZURI
=============
HII NYUMBA ALIKUA ANAISHI MWENYENYUMBA MWENYWE KWA IYO INAPIGWA RANGI NDAN NA NJE NA MAREKEBISHO MENGNE YOTE INARUDISHWA MPYAA
=================
NA BRBR NI RAFIKI KABISA KWA GARI YA AINA YOYOTE
==================
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
==============
0773700963
0753 989554
=====