House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


HIZI APARTMENT NZURI MPYA MPYA MPYA KABISAA
.
.
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
.
HIZI APARTMENT ZIPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE UWANJAN
.
.
UMBALI WA KM 1,3 TU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500 BODA 1000
.
.
SIFA ZAKE
#########
NI CHUMBA KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI CHOO NDANI PUBLIC
.
.
ZIPO APATIMENTI 4 KWENYE COMPAUND MOJA NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN
.
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0 PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI GARDEN NZURI
.
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
.
BILA KUSAHAU MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
.
.
CONTACT
0742260844
0657384670
.