House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F19f84eb0-2756-45b4-b20e-3694990a921f.jpg&w=3840&q=75)
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F19f84eb0-2756-45b4-b20e-3694990a921f.jpg&w=256&q=75)
NYUMBA HIO APO INAPANGISHWA INA VYUMBA VYA KULALA 4
MASTER, PABLICK NA BAFU.
NYUMBA IMEKAMILIKA VIZURI SANA INA HADI SEHEM YA KUSOMEA.
PIA INA HITER YA MAJI YA MOTO IC NA GARDEN SAFI KABISA IPO NDANI YA FENSI PEKE YAKE YAANI STEND ALONE .
KODI LAKI 8 KWA MWEZI .
SERVES CHAJI 15000 . NYUMBA IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA NA BAJAJI DAKIKA 3 BODABODA 1000
0710614924
0688653940