House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


KODI NI 180,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 3, 4, 5 NAKUENDELEA
INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE
UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM.1
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BODA ELFU MOJA BAJAJ DALADALA SH 5OO
CHUMBA MASTER KUBWA SANA SEBULE KUBWA MNO YAKUJIACHIA NA SEHEMU YA KUPIKIA
TYRIES JIPSUM MADIRISHA ALUMINIUM
NYUMBA HII HAIPO KWENYE FENCE LAKINI MAZINGIRA MAZURI NA SALAMA
UMEME LUKU SHARE WATATU PIA KILA MMOJA ANA SUBMETER YAKE NA MAJI DAWASA YANATIRIRIKA NDANI
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA
SERVICE CHARGE NI TZS.15000
CONTACT
0742260844
0657384670