House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA 600K
. .
. .
NYUMBA KUBWA YA KIFAMILIA INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE UMBALI WA DK 6 KUTOKA MOROGORO ROAD KOROGWE MWENDOKAS TERMINAL.
. .
. .
SIFA ZA NYUMBA =
###############
VYUMBA 3 VYA KULALA VIWILI MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA
DINING ROOM
JIKO LENYE MAKABATI
PUBLIC TOILET
LIBRARY
STORE
TAILS
GYPSUM
MADIRISHA MAZURI YA SHATA
REZEV SIMTANK
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI
NDANI YA FENSI PEVING BLOCK PARKING SPACE KUBWA
. .
. .
KODI NI LAKI 600,000 /=
KWA MWEZI
. .
. .
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
. .
. .
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
. .
. .
NOTE =
KWENYE COMPAUND MOJA IPO NYUMBA HII KUBWA AMBAYO NDIO INAPANGISHWA NA SERVANT COUTER AMBAYO ITAKUWA INATUMIWA NA MWENYE NYUMBA KWA MATUMIZI YAKE NA KWA KUISHI ......." ZINGATIA HILO "
. .
. .
CONTACT
0742260844
0657384670