House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(180,000 × 3) KIMARA TEMBONI
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
💥APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING KUBWA
#GARDEN
BEI NI 180,000 × 3
ILIPWE LAKI 1 NA ELFU 80 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 3
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2
USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300