House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA YA KISASA INAPANGISHWA KWENYE FENSI MOJA ZIPO NYUMBA MBILI TUU HII KUBWA NDIO IPO WAZI NA PEMBENI KUNA SERVANT CORTER TAYARI INAMPANGAJI
💥 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#VYUMBA VYOTE VINAMAKABATI YA NGUO NDANI
#SEBULE KUBWA ZIPO SEBULE MBILI
#DINING
#PUBLIC TOILET
#AIRCONDITION
#GARDEN NZURI
#PARKING KUBWA
BEI NI 500K X 6
ILIPWE LAKI 5 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🇹🇿 NYUMBA HII KUBWA YA FAMILIA IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI AU TAX SHILINGI 500
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
CONTACT
0742260844
0657384670