House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(250,000X6)KIMARA BARUTI..BAJAJI 500
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
HIZI NYUMBA ZIKO 2TU KWENYE FENSI MOJA IPO WAZI
#SEBULE WASTANI
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA FAMILIA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW MAZINGIRA MAZURI NYUMBA ZIPO KWENYE FENSI NUSU GARI MPAKA KWENYE NYUMBA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA BARUTI DK KLM 1 USAFIRI WA BAJAJI WA KUMWAGA (500) BODA BUKU
#BEI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 5,6
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453