House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(200,000 × 4,5,6) KIMARA TEMBONI
APARTMENT NZURI SANA 🔥 MPYA KABISA
CHUMBA MASTER SEBURE NA JIKO
NDANI YA FENSI INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI
💥 KODI YAKE 200,000 × 4
🏘️ ILIPWE LAKI MBILI KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI MINNE NA KUENDELEA
SIFA ZAKE NI:_
⚡ CHUMBA MASTER
⚡ SEBULE SAFI
⚡ JIKO SAFI
⚡ MAJI DAWASA METER YAKE
⚡ MAJI YANAFLOW NDANI
⚡ UMEME UNAJITEGEMEA
⚡ PARKING KUBWA
🏡 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD MPAKA KWENYE NYUMBA NI KM 2
BAJAJI TSH700/=
BODA TSH1000/=
+----
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300