House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(400,000 ร 6) KIMARA KOROGWE Mafundi wapo site wanapiga rangi
HIZI NYUMBA ZIPO MBILI MOJA IPO WAZI ZIKO BARABARANI KABISA DK 2 TU WAHI MAFUNDI WANAPIGA RANGI
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#PUBLICK TOILET
#LUKU NA MITER YA MAJI UNAJITEGEMEA MAJI NI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#HIZI NYUMBA HAZINA FENSI ILA KUNA WALINZI WA KAMPUNI PARKING YA KUTOSHA MAZINGIRA MAZURI SANA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 2 KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300