House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(250,000 × 6) KIMARA SUKA
HIZI APARTMENT ZIPO 5 KWENYE COMPOUND MOJA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO ZURI LA NJE
#PUBLICK TOILET NDANI
#LUKU NA MITER YA MAJI UNAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLIDING WINDOWS PAVING BLOCKS NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LOCATION KIMARA SUKA DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MAIN ROAD BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300