House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
🗯️lipia Kodi hata mwezi mmoja
📍 Chumba chenye vitu ndani kinapangishwa KIMARA KOROGWE, 200,000/= ×1 (Ofa 🔥)
__________________________
đź“Ś Kitanda na Godoro unavikuta
đź“Ś Kiti na meza unavikuta
#Njoo na begi lako na shuka
• Chumba master Kizuri
* Umeme BURE
* Maji BURE
* Usafi Wa mazingira BURE
* Slide window
* Mazingira Tulivu sana.
#Umbali wa dakika 8-12 tu Kwa miguu
NB: Kinamfaa mtu Bachelor (Haimfai mtu mwenye vitu vyake)
__________
đź“Ś *MUHIMU*
#Malipo ya Dalali Nasson ni 100,000/= (OFA 🔥)
#Kwenda kuona 15,000
â„–:- 0753172516