House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(300,000 × 6) KIMARA MWISHO
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION:
KIMARA MWISHO
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 1.5 BAJAJI 700
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
SIFA ZAKE:
VYUMBA VIWILI 2 VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO ZURI LENYE MAKABATI
PUBLIC TOILET NDANI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO NDANI YA FENCE
PARKING SPACE
UWANJANI PAVING BLOCK
KODI 300,000 × 6
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
Contact:
0654101710
0787205300