House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Mpyaaa mpyaa
100k X 3
NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO (DSM)🇹🇿
====================
*CHUMBA MASTER KUBWA
MAJI DAWASA YANATOKA NDANI 24HRS
*NYUMBA NDANI YA FENSI KUBWA UNALAZA GARI
*NYUMBA IKO UMBALI WA KILOMETA2 BAJAJI
700
KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD KIMARA MWISHO(DSM)🇹🇿
Kwa bi lunyungu msikiti mdogo
USAFIRI UPO NI BODA 1000 BAJAJI 700 UKISHUKA UNAPIGA TEKE GETI
*KODI NI TSZ 100000/= KWA MWEZI
_________________________
*KWA MAELEZO ZAIDI
PIGA SIMU
NB:USISAHAU PESA YA TAADHALI 50000
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
_________________________
0713661530_0783661530