House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
======================
*CHUMBA, SEBULE, SEEMU YA JIKO, PUBLIC TOILET NDANI, MAJI DAWASA YANA FROW CHOONI#HAKUNA MASTER BEDROOM
*ZIKO 5 KTK COMPAUND MOJA, NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA LUKU, PARKNG SPACE KUBWA SANA
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM2.5, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
*KODI 200,000/= KWA MWEZI
_____________________________
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347