House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


HAPO JUU NDO MTU ANAHAMA ITAKUA WAZI TAR 30/01/2024 KUJA KUIONA NA KULIPIA NI RUKSA
KIDI NI 230,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
NI APARTMENT NZUR INAPANGISHWA
IPO KIMARA KOROGWE UMBALI WA KUTEMBEA DK 8 MPKA 10 KWA MIGUU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS AU BAJAJI 500 AU BODA ELFU MOJA TU MPKA NYUMBAN
SIFA ZAKE
#######
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA NA JIKO ZURI KUBWA
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDAN CHOO NA JIKON
INA TILLES GYPSUM ALUMINUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0
NYUMBA NZURI GARI MPKA NYUMBAN ILA PARKING HAKUNA
0655256419
SERVICHAJ ELFU 15
CONTACT