House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 12 KUTEMBEA KWA MIGUU PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15
UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
hii nyumba NI chumba sebule master bedroom na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme
Nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
Kwenye fensi watu 3
KODI YA PANGO
Kodi kwa mwezi ni laki moja nasitini tuu
Unakuwa umeripiya na maji
Hiyo bei
Umeme wako mwenyewe
(160,000)
( X 6 )
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU 0659336751 WSP 0786085637