House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI LAKI 2 NA NUSU TUU KWA MWEZI (250,000/=) X 6 HAKUNA PUNGUZO KWENYE HIYO BEI
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PAVING
#PARKING
#ZIPO APARTMENT 4 NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 250K X 6
ILIPWE LAKI 2 NA ELFU 50 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1
💥NDUGU MTEJA CHANGAMKA NYUMBA NI NZURI NA BEI NI MSELELEKO
CONTACT 0715949095
CONTACT 0782838336