House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI YA KUPANGA (200K X 5,6)
KODI LAKI MBILI MALIPO MIEZI MITANO MPAKA SITA
NYUMBA HII IPO KIMARA MWISHO UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD KM 2.5
SIFA ZAKE
#CHUMBA MASTER
#SEBULE
#JIKO OPEN KITCHEN
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING SPACE IPO FULL HETER PAVING BLOCK ZINAWEKWA
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 20,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
SIMU
0712656027