House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


#0718807301
APARTMENT MPYA KABISA INAPANGISHWA KIMARA SUKA #200k
Chumba cha kulala
Choo ndani master
Sebule
Umeme submeter maji yanaflow chooni
Bei:200,000 Kwa mwezi ×6
Umbali dakika 8 Kwa mguu toka Suka round about
Ndani ya fence parking kubwa Sana,
NB: Mkaaji anatakiwa awe bachelor wa kike au wakiume
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
⬇️