House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#APARTIMENT YA KISASA INAPANGISHWA 200K x 5/6
------------------------------
#NAFAULISHA MTEJA WANGU
*INAKUWA WAZI TAREHE 10/8*
๐Mahali:KIMARA MWISHO(Dsm) ๐น๐ฟ
Umbali:1.5Km Pikipiki 1000/=
Bajaji Elf 1
_________________________
MUUNDO รท
โ๏ธChumba Kikubwa Master
โ๏ธSebule KUBWA Sana
โ๏ธJiko Zuri Kubwa
โ๏ธNyumba Mpya
โ๏ธChoo Cha Public
__________
HUDUMA รท
โ๏ธMaji (Dawasa)MITA Yako
โ๏ธUmeme Luku Yako
๐ Ndani Ya Fensi Na Parking Kubwa Sana
โโโโโโโโโ
KODI,
200,000/= X 5/6
Malipo ni Ya miezi 5/6 + Mwezi 1 Wa Dalali.
*KUONA NA KULIPIA LUKSA*
________________________
Gharama ya kwenda Site Tsh. 15,000/=
*NO CHENI*
#0785889413