House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


*#APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO UMBALI KM 2 UKISHUKA UNAPIGA TEKE....*
=====================
SIFA ZAKE
#########
Chumba Master
Sebule kubwa
Jiko Kubwa La Makabati
Slide window
Maji yana flow
Luku Yake
A/c ipo
Heat Maji moto
Camer kila kona
Fensi kubwa na Peving Block
Parking space kubwa sana
Bembea ya kuenjoy na mpenzi wako sehem nzur
======================
Service charge 15,000/=
===========
Kodi ni 250,000 kwa mwezi Malipo ni miezi sita
====================
*Angalizo:Inakuwa wazi Tarehe 01.3.2024 join hii ya leo
===================
*Inakuwa wazi ya juu*
=≈=====≈====≈==
Contact
0742260844
0657384670