House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


JENGO KUBWA LINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER DK1 KUTOKA LAMI
HII NYUMBA INA FAA KUFUNGUWA HOSPITAL AU OFFICE YOYOTE ,SHULE NK
INA VYUMBA 6 VYA KULALA MASTER
SEBLE KUBWA
PUBLIC TOILET
MAJI YAPO
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA
KODI 1,600,000/= ×6
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 20,000 KWENDA KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347