House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







MPYAA MPYAAA KABISA HIZI UNAZINDUA MWENYEWE
HAPA KUNA NYUMBA AINA MBILI TOFAUTI
CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO KUBWA SANA LINA FUNGWA MAKABATI
HEATER YA MAJI MOTO
KODI 350,000X6
LOCATION: KIMARA STOP OVER UMBALI DAKIKA 10-15 KWA MGUU
PIA KUNA CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO
LINAWEKWA MAKABATI
HEATER YA MAJI MOTO
UKUBWA WA WASTANI
KODI 300,000X6
ZIPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA YANA FLOW NDANI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
0679 956 863
0759151524
0781 418 437