House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO KM2 KUTOKA LAMI
-------
Chumba master
Seble kubwa
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Slide window
Aina fence usalama wa kutosha kabisa
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 180,000/=ร6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 1.8
-----------
Contact
๐#0676_218580 (WhatsApp)
๐#0693_673010
#dalali_big_kimara ๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT ๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐