House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


MASTER BEDROOM YA KUPANGA KIMARA MWISHO
=======================
*SOMA MAELEZO VIZULI
_____________________________
(A).CHUMBA MASTER BED, YANI CHUMBA NA CHOO CHAKE NDANI, KUBWA SANA, LUKU YA KUSHEA WA 3
*NYUMBA IKO NDANI YA FENSI, PARKNG SPACE HAKUNA
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM2.5, BAJAJI, NOAH700/=
*KODI 100,000/= KWA MWEZI
______________________________
(B).CHUMBA MASTER BED, YANI CHUMBA NA CHOO CHAKE NDANI, MAJI DAWASA YANA FROW NDANI
*NYUMBA IKO NDANI YA FENSI, PARKNG SPACE KUBWA SANA, LUKU YA KUSHEA WA 2
*KODI 100,000/= KWA MWEZI
______________________________
NB:HIZI NYUMBA NI MPYA, ZITAKUWA TAYALI KUINGIA TAREHE 1/8/2024. KUONA NA KULIPA RUKSA
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA
=======================
*WSP:
0627977383
*CALL:
=======================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
______________________________