House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI DK6 KWA MIGUU KUTOKA LAMI.
Chumba
Seble
Jiko
Open (kitchen)
Public toilet ndani
Tiles
Gypsum
Slide window
Maji yana flow
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
Service charge 15,000/=
Kodi 250,000/=×3
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki mbili na nusu Kodi miezi 6
Itakuwa wazi TAREHE 1 mwenzi wa kumi na moja kuona kulipia ruksa endapo MPANGAJI atakuepo