House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
HIZI APARTMENT ZIPO 4 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA MASTER
#JIKO ZURI
#CHOO CHA WAGENI NJE
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 3 TU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#NOTE ANATAKIWA MPANGAJI MUISLAM
SIMU 06 59 33 67 51 WSP 07 86 08 56 37