House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NI CHUMBA MASTER BEDROOM KIKUBWA NA SEBULE KUBWA
IPO KIMARA KOROGWE KILUNGILE
KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500
KODI NI 200,000 KWA MWEZI 5, 6
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI
LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW CHOONI
IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZUR SANAA
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
call/ whatsapp
O677370515 or 0688991244