House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







MPYAA MPYAA KABISA HII UNAZINDUA MWENYEWE
KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
KODI 200,000X6
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA YANA FLOW NDANI
UMBALI KM 1,5 UKISHUKA UPO NDANI
FENSI IMEJENGWA PANDE MBILI GARI ADI NYUMBINI USALAMA KAMA IKULU BALABALA NIRAFIKI SANA
BAJAJI ZIPO 1000
DALADALA 600
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
##0655256419