House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#KODI NI TZS 160K X6
SIFA ZA NYUMBA 👇
CHUMBA MASTER BEDROOM
JIKO KUBWA
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING KUBWA LAKINI GETI NDIO LIPO MBIONI KUWEKWA
UMEME SHARE WAWILI PIA SUB-METER YAKE NA MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
NJOO NA VYOMBO TU PANZIA UTAZIKUTA FREE KILA DIRISHA ZIKO MBILI
LOCATION: KIMARA KOROGWE👉 KWA MKUWA
BAJAJI SH.5OO NA UKISHUKA TU UNATEMBEA DK 7 KWA MIGUU
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA🤝
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp