House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


WAI MAPEMA NDG MTEJA WANGU HII SI YA KUKOSA KABISA
========================รท
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO
==================
SIFA ZAKE
########
#VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA
#KIMOJAWAPO MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#DINING
#JIKO KUBWA SANA
#PUBLIC TOILET
#STORE
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA
========================
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
======================
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
ILIPWE LAKI 3 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6๐ TUU
======================
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KU LIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 BAJAJI 700๐ BODABODA 1000 ๐
===================
NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE
=======================
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
=======================
CONTACT
0742260844
0657384670