House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO(DSM) 🇹🇿KILOMETA.1KUTOKA BARABARA YA LAMI
700
📌USAFIRI UPO WA BAJAJI DALADALA TZS 700/=
BODA BODA ELFU 1000 /= TUU.
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBLE KUBWA SANA
#CHOO NJE CHA KWAKO MWENYEWE
#MAJI YANA FLOW CHOONI
#UMEME LUKU YAKO
#MAJI DAWASA MITER
#NYUMBA IPO NDANI YA FENSI
#PARKING SPACE IPO KUBWA
#MAZINGILA MAZURI SANA MNO
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI NI TZS 150,000/=X"5 "
CONTACT US :0781 418 437
WHATSAPP :0679 956 863
0759151524