House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA YA KUPANGISHA KIMARA STOP OVER CHUMBA SEBLEE CHOO NDANI NA JIKO LAKE LA NJE KODI LAKI MBILI (200,000)KWA MWEZI NDANI YA FENSI
..........
Seblee kubwa
Chumba master Kikubwa
Public toilet
Jiko kubwa la nnje
Full tiles
Gypsum board
Aluminiuam window
Luku yake
Maji Dawasco yapo yanaflow ndani
Metar ya maji ya kwako
Parking kubwa
Nyumba nzuri ya kisasa
Mazingila safi
..........
Kodi 200.000/ X 6
Kupelekwa site ni Elfu 15
.........
Ipo umbali wa 1 kilometers to main road usafili ni boda boda 1000
...........
SIMU
0712656027